Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 04, 2023 Local time: 08:20

Mali : Utamaduni wa futari ya uji mwezi wa Ramadhan


Mali : Utamaduni wa futari ya uji mwezi wa Ramadhan
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:38 0:00

Futari hii ya uji wa mtama ni maarufu nchini Mali wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, maarufu kama “Moni” kwa lugha ya Bambara, wananchi wengi wa mali hutumia wakati wa kufutari. Kadiatou Tarore anatuonyesha jinsi ya kutengeneza uji huu. Imetayarishwa na idhaa ya Indonesia ya Sauti ya Amerika.

XS
SM
MD
LG