Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 06, 2021 Local time: 19:48

UN yatahadharisha kutokea janga la njaa Tigray


UN yatahadharisha kutokea janga la njaa Tigray
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:53 0:00

Mkuu wa misaada wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths, amesema Jumanne huenda kuna njaa katika mkoa wa Tigray nchini Ethiopia.

Anaeleza eneo hilo kwa miezi kadhaa kumekuwepo na uzuiaji wa fursa za kupeleka misaada na imepelekwa asilimia 10 ya kile kilichohitajika katika eneo hilo lenye vita.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG