Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Mei 31, 2023 Local time: 18:10

Umoja wa mataifa waionya Burundi.


Wananchi waandamana Burundi

waziri wa mambo ya nje wa Burundi alihudhuria mkutano huo kwa njia ya Video kutoka Burundi.

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Jumatatu amekanusha kuwa nchi hiyo iko katika hali mbaya ya ghasia na badala yake amesema kuna maelezo tofauti yanayotolewa na makundi yenye misimamo mikali na baadhi ya vyombo vya habari.

Baraza la usalama la UN laionya Burundi
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:29 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Katika kikao kilichofanyika Jumatatu na kuhuduriwa na wawakilishi nmbalimbali wengi wameshutumu ghasia zinazoendelea hadi sasa tangu zilipochochewa wakati wa uchaguzi mkuu nchini humo.

XS
SM
MD
LG