Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 08:23

UM kuongeza vikosi zaidi Mali


Waziri Mkuu wa Mali, Modibo Keïta
Waziri Mkuu wa Mali, Modibo Keïta

Umoja wa Mataifa umesema utatuma vikosi zaidi wiki hii kuendelea kusaidia juhudi za kupambana na ugaidi nchini Mali, ikiwa ni maadhimisho ya mwaka mmoja toka Umoja wa Mataifa ulipoingia katika nchi hiyo ya Africa Magharibi.

Wiki iliyopita, Waziri Mkuu wa Mali, Modibo Keita, alihutubia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York, hasa akielezea kwamba Umoja wa Mataifa ungetuma vikosi 2,500 zaidi katika vikosi 12,000 vilivyopo nchini humo kwa sasa.

Mali imekuwa ikikabiliana na vikundi kadhaa vya wanamgambo katika miaka ya hivi karibuni ikijumuisha al-Qaida na kundi la Islamic Maghreb linaloongozwa na Ag Ghaly.

Makundi yote yanataka kutumika kwa sheria ya kislamu nchini Mali.

XS
SM
MD
LG