Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Aprili 20, 2025 Local time: 16:08

Ukraine yasema yatungua makombora manne ya Russia


Matokeo ya shambulio la kombora la Russia huko Zaporizhzhia
Matokeo ya shambulio la kombora la Russia huko Zaporizhzhia

Ukraine ilisema siku ya Jumapili kwamba ilitungua makombora manne ya Russia usiku kucha lakini haikusema ni wapi mashambulizi hayo yalitokea.

Wakati huo huo siku ya Jumamosi ya mwisho ya mwezi Agosti imekuwa ikisherehekewa kama sikukuu ya kikazi kwa wafanyakazi wa kiraia na wanajeshi wa anga wa Ukraine, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alisema katika hotuba yake ya kila Jumamosi.

Alisema mwaka huu nchini Ukraine kutakuwa na kiwango kipya cha jeshi la anga la Ukraine ili ndege za kijeshi za F-16 zionekane katika anga yetu.

Forum

XS
SM
MD
LG