Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Julai 14, 2024 Local time: 08:20

Uhuru kutoa Hotuba ya hali ya Taifa Alhamisi


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya anatarajiwa kutoa hotuba kuhusu hali ya Taifa Alhamisi, wengi wakiwa na matarajio tofauti, huku wengine wakiwa wamevunjika mioyo kutokana na hali ngumu ya maisha inayoshuhudiwa.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:08 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Baadhi ya mambo ambayo Rais Uhuru aliyataja kwenye hotuba ya 2015 ni uimarishwaji wa usalama, kuhamishwa kwa mfumo wa televisheni kutoka kwa Analog hadi Digital na usambazaji umeme katika sehemu za mashambani miongoni mwa mengine.

Harrison Kamau wa VOA aliweza kufanya mahojiano na Maur Abdalla Bwanamaka ambae ni mchambuzi wa maswala ya kisiasa nchini humo na kumuuliza maoni yake na matarajio ya wanakenya. Sikiliza mahojiano.

XS
SM
MD
LG