Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 05:18

Uhispania yapambana na Morocco, Simba wa Atlas wanamatumaini


Uhispania yapambana na Morocco, Simba wa Atlas wanamatumaini
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:00 0:00

Uhispania inapambana katika mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Dunia kati yake na Morocco kufuzu kusonga mbele, lakini Simba wa Atlas wanahisi wanaweza kuifunga Uhispania. Morocco ni timu pekee ya Kiafrika ambayo inamatumaini ya kuingia robo fainali.

XS
SM
MD
LG