Kukosa kulipa fauna yaks ya kosa la trafiki, kunaifanya faini hio kupanda na mara nyingi hali hio inazifanya jamii kuwageuka walinzi wa usalama. Huko mini Ferguson jimbo la Missouri, mauwaji ya kijana mweusi alokuwa hana silaha ,taka mitano ilopita, yalipelekea jamii huko na polisi kutathmini mienendo yao na kuibua mjadala wa kitaifa.
Facebook Forum