No media source currently available
Uganda inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta ya petroli kutokana na msongamano mkubwa wa magari ya kusafirisha bidhaa hiyo kwenye mipaka ya Busia na Malaba, mashariki mwa nchi hiyo.
Ona maoni
Facebook Forum