Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 22, 2024 Local time: 18:43

Mbabazi adai maelezo kuhusu ndege iliyobeba makaratasi ya kura.


Mgambea kiti cha urais Uganda, Amama Mbabazi.
Mgambea kiti cha urais Uganda, Amama Mbabazi.

Mgombea kiti cha urais nchini Uganda Amama Mbabazi ametaka tume ya uchaguzi ieleze kwa kina sababu za kucheleweshwa kwa ndege iliokuwa imebeba makaratasi ya kupigia kura.

Mgombezi urais wa upinzani nchini Uganda Amama Mbabazi, ametaka tume ya uchaguzi kutoa maelezo zaidi ya jinsi ndege iliyobeba karatasi za kupigia kura za urais ilivyochelewa kuasili Uganda kwa mda wa saa nne wakati ikitoka Afrika kusini.

please wait

No media source currently available

0:00 0:01:07 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Mbabazi ambaye amesikika mara kadhaa akidai kujua ujanja wote wa kuiba kura, ameeleza kutoridhika na sababu iliyotolewa kwamba hali mbaya ya hewa ndiyo iliichelewesha ndege hiyo, wakati tetesi zikiendelea kutolewa kwamba ndege hiyo ilitangulia kutua nchini

XS
SM
MD
LG