Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 25, 2020 Local time: 09:08

Ufaransa na Uingereza zampongeza Rais mteule Joe Biden


Ufaransa na Uingereza zampongeza Rais mteule Joe Biden
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00

Wakati salamu za pongezi zikiwasili kutoka kwa viongozi mbalimbali akiwemo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kwa Rais mteule Joe Biden, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Pompeo aendelea mukataa matokeo ya uchaguzi.

XS
SM
MD
LG