Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 29, 2023 Local time: 01:32

Joto la uchaguzi wa urais laanza Zambia

Rais wa zamani wa muda wa zambia, Edgar Lungu
Rais wa zamani wa muda wa zambia, Edgar Lungu

Guy Scott, mwanachama wa chama tawala “Patriotic Front,” amesema haondoki ndani ya chama hicho lakini anaamini katika kumuunga mkono Hichilema kwa sababu hali ya kisiasa nchini Zambia ni tulivu.

Rais wa zamani wa muda wa Zambia ametangaza kumuunga mkono mgombea urais wa upinzani Hakainde Hichilema wa chama cha “United Party for National Development” (UPND) katika uchaguzi wa rais wa Agust 11.

Guy Scott, mwanachama wa chama tawala “Patriotic Front,” amesema haondoki ndani ya chama hicho lakini anaamini katika kumuunga mkono Hichilema kwa sababu hali ya kisiasa nchini Zambia ni tulivu.

Scott alisema kwamba, walisema watafanya kazi pamoja na kutokana na kauulihiyo ni kwamba watamuunga mkono mgombea wao japokuwa kuna masuala ya kushughulikiwa.

Kwa wakati huu, Scott amesema, Hichilema anaweza kupata karibu asilimia 60 na kura katika uchaguzi wa August dhidi ya asilimia 40 ya Lungu.

XS
SM
MD
LG