Takriban juma moja baada ya Shirika la Uber nchini Kenya kupunguza ada zake za nauli kwa wateja wake jijini Nairobi kwa asilimia 35%, siku ya Jumanne jijini humo washirika wake ambao ni madereva na wamiliki wa magari wanaotumia mtandao wake wameandamana kulalamikia kupunguzwa kwa ada hizo pasi kuhusishwa katika mashauriano.
Mwandishi wa VOA mjini Nairobi, Kennedy Wandera ana taarifa kamili;