Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 09, 2023 Local time: 16:37

Tundu Lissu awataka upinzani kuwa na kauli moja


Tundu Lissu awataka upinzani kuwa na kauli moja
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:10 0:00

Tundu Lissu awataka upinzani Tanzania kuwa na kauli moja. Amesema hayo katika mkutano wa ACT Wazalendo Jumatano, Dar es Salaam uliowapitisha Bernard Membe na Maalim Seif kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

XS
SM
MD
LG