Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 19, 2024 Local time: 15:09

Trump akanusha mashtaka yote 34 katika mahakama ya New York


Trump akanusha mashtaka yote 34 katika mahakama ya New York
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:13 0:00

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumanne amekana makosa katika mahakama ya jimbo la New York kuhusu mashtaka 34 yaliyofunguliwa yakimshutumu kughushi rekodi za biashara.

Shutuma hizo zinafungamana na kuendeleza uhalifu ambao haukutajwa – ulioelezwa na waendesha mashtaka katika juhudi ya kuficha malipo ya kumnyamazisha mcheza filamu za ngono ili imsaidie kushinda urais mwaka 2016.

XS
SM
MD
LG