No media source currently available
Timu ya watafiti wa kimataifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO wakiwasili Alhamisi, Januari 14, Wuhan, China kuchunguza chanzo cha virusi vya Corona wakati China ikiripoti kwa mara ya kwanza baada ya miezi minane kifo cha kwanza cha COVID-19.