Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 05:08

Tathmini ya Siku 100 : Rais Samia asema COVID-19 ipo Tanzania


Tathmini ya Siku 100 : Rais Samia asema COVID-19 ipo Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:10 0:00

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongea na waandishi wa habari Jumatatu Juni 28, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano huo wa tathmini ya siku 100 tangu aingie Madarakani.

Amesema ugonjwa upo Tanzania na kuna wagonjwa wanaendelea kupatiwa matibabu,
“Nataka niwe mkweli, Tanzania tuna wagonjwa katika hili wimbi la tatu. Mpaka taarifa nilizozipata juzi, nadhani kuna wagonjwa kama 100 na…, kati yao si chini ya 70 wako kwenye matibabu ya gesi, wengine wako kwenye matibabu ya kawaida,” amesema Rais Samia.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG