No media source currently available
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atoa muelekeo wa serikali akieleza mbinu mbalimbali za ukuzaji uchumi wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo kwa mara ya kwanza tangu kuchukua urais, kufuatia kifo cha hayati Rais Magufuli.
Ona maoni
Facebook Forum