Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 28, 2023 Local time: 09:54

Syria yagomea mkutano wa Umoja wa nchi za Kiarabu.


Rais wa Syria Bashar al-Assad .

Syria yagomea mkutano wa Umoja wa nchi za kiarabu baada ya kusimaishwa uanachama.

Syria inasema haitahudhuria mkutano wa jumuiya ya nchi za kiarabu Arab League huko Rabat Jumatano ili kuzungumzia hali ilivyo sasa nchini humo.

Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za kiarabu huko Morocco umefanywa siku nne baada ya jumuiya hiyo kuamua kusimamisha uanachama wa Syria kwa sababu Syria inaendelea na msako mkali dhidi waandamanaji wanaopinga serikali badala ya kufanikisha juhudi za amani za jumuiya ya nchi za kiarabu.

XS
SM
MD
LG