Huku wananchi wa Afrika Kusini wakisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa manispaa na huku matokeo ya awali yakiashiria kwamba chama cha ANC kingpoteza baadhi ya viti vyake, BMJ Muriithi alizungumza na mwandishi wa habari wa kujitegemea, Christine Esipisu, akiwa mjini Johannesburg, na kwanza akamuuliza taswira ilikuwaje hasa kwa upande wa chama cha ANC, ambacho kilikuwa kimeelezea imani yake kwamba kingeshinda viti vyote katika uchaguzi huo...
Facebook Forum