Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 23:32

Shughuli za maendeleo Tanzania zatengewa bajeti ya shilingi trilioni 15


Shughuli za maendeleo Tanzania zatengewa bajeti ya shilingi trilioni 15
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:01 0:00

Asilimia 36.2 ya Bajeti ya Tanzania sawa na shilingi trilioni 15 zimeelekezwa katika shughuli za maendeleo katika mwaka wa fedha 2022/23. Taarifa hiyo ilisomwa na Waziri wa Fedha wakati wa kuwasilisha bajeti ya nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG