Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 29, 2020 Local time: 05:32

Israeli yadhibiti usafiri baada ya shambulizi

Israel imesitisha hati 83,000 za kusafiria za wapalestina katika mwezi huu wa Ramadhan baada ya wapalestina wawili wenye bunduki kufyatua risasi kwenye eneo la maduka na migahawa karibu na Ofisi za Wizara ya Ulinzi mjini Tel Aviv usiku wa Jumatano, ambapo watu 4 wameuwawa na wengine 5 kujeruhiwa.

Kwenye taarifa iliotolewa mapema leo na shirika la COGAT linaloratibu maswala ya kiraiya kwenye ukingo wa magharibi, hati zote za kusafiria za kifamilia za wapalestina kutoka Judea na Samaria kuelekea Israel zimesimamishwa.

Amri hiyo inaathiri mamia ya wapalestina kutoka Gaza pamoja na watu 204 kutoka jamii ya mmoja wa washambulizi ambao wote wamezuiliwa kutembelea jamaa zao wanaohudhuria sala za Ramadhan mjini Jerusalem na wanaotumia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Tel Aviv.

Polisi wa Israel wametaja tukio hilo kuwa la kigaidi .

Facebook Forum

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG