Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 20, 2022 Local time: 02:09

Serikali ya Ethiopia : Jeshi la Ethiopia 'Halitaingia Tigray..."


Serikali ya Ethiopia : Jeshi la Ethiopia 'Halitaingia Tigray..."
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:53 0:00

Msemaji wa serikali ya Ethiopia amesema Ijumaa jeshi la nchi hiyo halitaingia eneo la Tigray ambalo limeharibiwa sana kutokana na vita.

Tangazo hilo limetolewa siku moja baada ya vyanzo vya habari kutoka mashirika yanayotoa misaada ya kibinadamu kusema kwamba mashambulizi ya angani yameharibi kituo muhimu sana cha kusambaza nguvu za umeme.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG