Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 15:52

Serikali ya DRC yamkamata aliyemtuhumu mke wa Tshisekedi


Serikali ya DRC yamkamata aliyemtuhumu mke wa Tshisekedi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:57 0:00

Mwanachama wa pili wa kundi la kupambana na ulaji rushwa Congo, DRC, Ghislain Muhiwa amekamatwa baada ya kumtuhumu mke wa Rais Felix Tshisekedi kwa ubadhirifu wa mali ya umma.

-​ Wanafunzi 15 wameungana tena na familia zao wiki saba baada ya kutekwa nyara kutoka shule yao kaskazini magharibi mwa Nigeria.

- Rais wa Afrika Kusini amepongeza hamasa walizoonyesha vijana katika kampeni ya chanjo dhidi ya COVID-19.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG