Kwa mujibu wa Mwandishi wa idhaa ya Kiswahili VOA ambaye yuko katika mji mdogo wa Mangina nchini DRC anaripoti kuwa chanjo hiyo imeanza kutolewa rasmi Jumatano katika eneo hilo, lilioko kilomita 30 magharibi ya mji wa Beni. Beni ni mji ambao mlipuko wa Ebola ulitangazwa wiki iliyopita.
Imetayarishwa na Mwandishi wetu Austere Malivika, DRC
Imetayarishwa na Mwandishi wetu Austere Malivika, DRC