Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 09, 2021 Local time: 17:00

Serena Williams apaza sauti juu ya kupotea kwa nyota wa Tennis Peng Shuai


Serena Williams apaza sauti juu ya kupotea kwa nyota wa Tennis Peng Shuai
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:24 0:00

Serena Williams amejiunga kutoa wito wa kumtafuta nyota wa mchezo wa Tennis Peng Shuai aliyetoaweka baada ya kumshutumu afisa wa zamani wa serikali ya China kwa unyanyasaji wa kijinsia.

XS
SM
MD
LG