Homa kali ya virusi vya Avian vinavyoathiri ndege na kuku imezuka nchini Senegal huku hatua za kudhibiti homa hiyo zikichukuliwa na serikali ya nchi hiyo.
Imam wa Indonesia aliyegharimia mafunzo ya wanamgambo wa Kiislam aachiwa baada ya kutumikia kifungo cha miaka 15.
-Mafuriko yanaendelea kuathiri maeneo mengi ya Malaysia.
Facebook Forum