Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 18, 2024 Local time: 20:54

Kesi ya Gen Sejusa wa Uganda yasitishwa na mahakama ya juu

sejussa escorted by army officers in Kampala, Uganda
sejussa escorted by army officers in Kampala, Uganda

Mahakama kuu ya Uganda, imeamrisha mahakama ya kijeshi kusimamisha shughuli ya kusikiliza kesi ya aliyekuwa kiongozi wa ujasusi nchini humo, Generali David sejjusa, kwa msingi kwamba mahakama hiyo ya kijeshi haina mamlaka ya kumhukumu.

Na Kennes Bwire
Kampala, Uganda
Mahakama kuu ya Uganda, imeamrisha mahakama ya kijeshi kusimamisha shughuli ya kusikiliza kesi ya aliyekuwa kiongozi wa ujasusi nchini humo, Generali David sejjusa, kwa msingi kwamba mahakama hiyo ya kijeshi haina mamlaka ya kumhukumu.
Jaji Margret Ogoli, akitoa kauli hiyo mjini Kampala, amesema kwamba mahakama ya kijeshi inavunja sheria kwa kuendelea kusikiliza kesi yake Sejjusa, pamoja na kumnyima dhamana.
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:59 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG