Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 30, 2022 Local time: 07:08

Trump, Sanders washinda New Hampshire


Sen. Bernie Sanders akiwa katika kampeni, New Hampshire

MANCHESTER, NEW HAMPSHIRE - Vyombo vya habari kadha Marekani vinatangaza kuwa matokeo ya awali yanaonyesha tajiri Mrepublican Donald Trump na Seneta kutoka Vermont Bernie Sanders wameshinda uchaguzi wa awali katika jimbo la New Hampshire lililopo kaskazini-mashariki mwa nchi.

Hali ilianza kujitokeza mara tu baada ya vituo vya kura kufungwa baada ya watu wengi kujitokeza kupira kura.

XS
SM
MD
LG