No media source currently available
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewabadilisha mawaziri na manaibu wao katika baadhi ya wizara ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao na kuwataka washikamane na kufanya kazi kwa manufaa ya taifa.
Ona maoni
Facebook Forum