Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 02, 2022 Local time: 15:14

Sakata la Mbowe kushikiliwa na polisi Tanzania


Sakata la Mbowe kushikiliwa na polisi Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:01 0:00

Polisi nchini Tanzania imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe.

Wakati hilo lilipotokea wafuasi wa chama hicho walikuwa na wasiwasii wa kutokujua yuko wapi.
Sunday Shomari amezungumza na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema John Mrema na kwanza kutaka kujua Polisi wanasema nini mpaka sasa juu ya kukamtwa kwake?

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG