Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 08:46

Wanajeshi wa Rwanda waingia DRC bila idhini.


Wanajeshi wa DRC wakishika doria kwenye mpaka wao na Rwanda.
Wanajeshi wa DRC wakishika doria kwenye mpaka wao na Rwanda.

Msemaji wa jeshi la Jamhuri ya Kedomkrasia ya Congo katika eneo la Kivu Kaskazini amesema ameshangaa kuona Jeshi la Rwanda likiingia nchini humo kwa zaidi ya kilomita moja jumamosi bila taarifa yoyote.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:49 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Wanajeshi hao waliingia hadi Banagana Buhumba eneo lililoko kilomita 32 kaskazini mwa Goma. Kapteni Djike Kaiko Guyom amesema tabia hiyo ni ya uchokozi na imetokea kwa mara ya pili jambo ambalo jeshi lake halitakubali tena.

Mwishoni mwa Juma, watu wenye silaha walishambulia kambi moja magharibi mwa Rwanda ambapo Rwanda ilidai ni waasi wa FADLR kutoka DRC.

Zikiliza ripoti zaidi kutoka kwa Austele Malivika akiwa Buhumba.

XS
SM
MD
LG