Ghasia za kijamii na mapigano kati ya majeshi ya Sudan na kikosi maalum cha Rapid Support Forces huko Darfur Magharibi zimeongezeka katika siku za karibuni, kwa mujibu wa ripoti. Walioshuhudia ambao wameukimbia mji wa Geneina wanasema mji wao umesambaratishwa.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari