No media source currently available
Russia inaitaka Ukraine isitisha hatua za kijeshi, ibadilishe katiba yake, isiegemee upande wowote na ikiri kuwa Crimea ni sehemu ya Russia na kutambua jamhuri za wanaotaka kujitenga Donetsk na Lugansk kama maeneo huru.