No media source currently available
Wakati Russia ikiendelea kuishambulia Ukraine huku Repoti zikielezea mji wa Kherson umeangukia mikononi mwa majeshi ya Russia, huku raia wakiendelea kuuawa.