No media source currently available
Mwandishi wa habari wa Marekani afikishwa mahakamani nchini Russia kwa mara ya kwanza Jumanne akifunguliwa mashtaka ya ujasusi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyokuwa hapo mahakamani.