No media source currently available
Klabu bingwa barani Ulaya inarejea tena wiki hii ambapo Robert Lewandowski atarejea Football Arena Munich akiwa na rekodi nzuri ya kufunga hat-trick ushindi mzito wa Klabu yake ya Barcelona, 5-1 dhidi ya Viktoria Plzen.