Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 18, 2024 Local time: 11:48

Ripoti ya uchaguzi wa Tanzania yatolewa

Uchaguzi wa tanzania vifaa vyan kupiga kura
Uchaguzi wa tanzania vifaa vyan kupiga kura

Awali taasisi mbalimbali nchini Tanzania zilishinikiza kutolewa ripoti hiyo ili kuweka bayana yalitojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo Octoba mwaka jana.

Muungano wa taasisi za kiraia kwa ajili ya kuangalia uchaguzi mkuu nchini Tanzania leo imechapisha ripoti yake ya mwisho kuhusu uchaguzi uliopita na kutoa mwito wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasi ili kuondoa hali yoyote ya sintofahamu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mwingine.

Ripoti ya mwisho ya uchaguzi Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:53 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Awali taasisi mbalimbali nchini Tanzania zilishinikiza kutolewa ripoti hiyo ili kuweka bayana yalitojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo Octoba mwaka jana.

uchaguzi huo uligubikwa na ushindani mkubwa kati ya waliokuwa wagombea Dr. John Pombe Mgufuli kupitia chama cha CCM ambaye aliibuka mshindi na Edward Lowassa aliyehama chama cha CCM dakika za mwisho na kujiunga na ushirikiano wa vyama vya upinzani UKAWA.

XS
SM
MD
LG