Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 01, 2024 Local time: 22:52

Ferguson yakumbwa na fujo usiku wa pili

Mji wa Ferguson katika jimbo la Missouri ulikumbwa na usiku wa pili wa machafuko huku maandamano yakiendelea katika sehemu mbali mbali nchini kupinga uamuzi wa baraza la mahakama kutomfungulia mashitaka polisi mzungu aliyemwua kijana mmoja mweusi mwezi August.

The Midwestern U.S. town of Ferguson, Missouri, faced a second night of unrest and solidarity demonstrations were held nationwide to protest a grand jury's decision to not indict a white police officer who shot and killed an unarmed black teenager in August.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG