Makadirio haya ni kutokana na repoti ya kituo kimoja cha taaluma za usalama inayofadhiliwa na taasisi ya ulinzi Marekani.
Ungana na mwandishi wetu akikuletea ufafanuzi wa sababu zilizopeleka kutokea athari mbaya katika nchi ya Benin. Pia utapata kujua jinsi hali hii inavyoathiri ukuaji wa uchumi wa bara la Afrika. Endelea kumsikiliza..