Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 18, 2024 Local time: 15:32

Rais wa Taiwan ajiuzulu kama mkuu wa chama cha Democratic Progressive


Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wapiga kura nchini Taiwan walikichagua kwa wingi chama cha upinzani cha Nationalist katika kinyang’anyiro kikubwa kwenye kisiwa hicho kinachojitawala .

Wasiwasi ulikuwepo kwenye uchaguzi kuhusu vitisho kutoka China kushika nafasi ya nyuma katika maswala zaidi ya ndani. Tsai amezungumza mara nyingi kuhusu kuipinga China na kutetea Taiwan, katika mchakato wa kampeni dhidi ya chama chake.

Lakini mgombea wa chama Chen Shih-chung , aliyepoteza nafasi ya umeya wa Taipei , aligusia suala la chama cha kikomunisti kutishia mara kadhaa kabla hakijahamia katika maswala ya ndani na kulikuwa na ushawishi mdogo wataalamu wanasema.

Tsai ametangaza kujizulu kwake Jumamosi jioni, utamaduni baada ya Meya kushindwa , katika hotuba fupi ambapo pia aliwashukuru wafuasi.

Wakati waangalizi wa kimataifa na chama tawala wamejaribu kuhusisha uchaguzi na tishio la muda mrefu ambalo ni jirani ya Taiwan, wataalamu wengi wa ndani hawafikiri China ambayo inadai kisiwa hicho kama eneo lake itanyakua kwa nguvu ikiwa ni lazima, ina jukumu kubwa kushiriki wakati hu.

XS
SM
MD
LG