Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 26, 2020 Local time: 10:08

Rais wa Nigeria atishia kutopeleka majeshi kwenye mpango wa kulinda amani


Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan.

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameyashutumu mataifa tajiri kwa kutupa silaha Afrika

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameyashutumu mataifa tajiri kwa kutupa silaha Afrika, ambazo zinaishia mikononi mwa wahalifu na wanamgambo.

Akizungumza kwenye mkutano kuhusu ulinzi amani mjini Abuja Bw.Jonathan alisema uuuzaji wa silaha kwa Afrika na mataifa yaliyoendelea kiviwanda ni moja ya matatizo makubwa ya bara hilo.

Bw.Jonathan pia alitishia kutopeleka majeshi ya Nigeria kwenye mpango wa kulinda amani wa umoja wa mataifa mpaka taasisi hiyo ya dunia itakapobadili sheria za walinda amani.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG