No media source currently available
Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo ametangaza kuwa kulikuwapo jaribio la kumpindua na kutaka kumuua yeye na baraza lake la mawaziri Jumanne na hali imerudi kuwa ya kawaida siku ya Jumatano.