Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 04, 2023 Local time: 06:45

Rais wa Ghana afariki dunia.


Rais wa Ghana John Evans Atta Mills
Rais wa Ghana John Evans Atta Mills

Ofisi ya rais nchini Ghana inasema amefariki katika hospitali ya jeshi mjini Accra.

Taarifa za habari kutoka Ghana zinasema rais John Atta Mills amefariki dunia. Ofisi ya rais inasema kiongozi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 68 alifariki ghafla leo masaa machache baada ya kuugua.Taarifa za habari za Ghana zinasema alifariki katika hospitali ya jeshi kwenye mji mkuu Accra. Hakuna maelezo ya haraka juu ya kifo chake.John Atta Mills aliongoza Ghana tangu mwaka 2009.

XS
SM
MD
LG