Anadaiwa ni nadra sana anafanya mikutano na wanahabari na mara nyingi anapendelea kutumia mtandao wa Twitter kutoa taarifa zake.
Inaelezwa licha ya kutojali kuulizwa maswali kuhusu sera zake, wachambuzi wanaelezea kuwa rais Bukele, huwa Haiti vyombo vya habari ambavyo humkosoa yeye na serekali yake.
Mitandao inayo heshimika kama vile El Faro, na Revista Factum, ambayo imejikita katika kuripoti masuala ya rushwa, ni miongozi ya ile inayolengwa na shutuma za kujihusisha kuanzia utakatishaji fedha mpaka utoaji wa ripoti za uongo.
Facebook Forum