No media source currently available
Rais Joe Biden asisitiza kuwa Marekani imerejea katika medani ya diplomasia na itaendelea na jukumu lake la kuzingatia demokrasia na haki za binadamu Duniani.