No media source currently available
Rais Biden alipongeza kundi la Maseneta lililoongozwa na Chris Murphy kwa mapendekezo yake ya hatua mpya ya kudhibiti bunduki, ingawa alikiri hayakidhi kile kinachotakiwa hasa kufanyika.