Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:25

Rais Biden aondoka Geneva


Rais Biden aondoka Geneva
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:38 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden ameondoka Geneva Jumatano baada ya mkutano wake na Rais wa Russia Vladimir Putini.

Viongozi hao walikutana Geneva kwa ajili ya mazungumzo yao kwa sababu mji huo kihistoria hauelemei upande wowote kisiasa. Pande zote zimeeleza juu ya fursa za ushirikiano lakini hawakuonyesha matarajio yoyote ya kuboresha uhusiano ambao hivi sasa ni wenye mvutano baina ya Moscow na Washington.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG