Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 23, 2023 Local time: 07:58

Rais Biden akiri mauaji ya Tulsa dhidi ya Waafrika ni ya halaiki


Rais Biden akiri mauaji ya Tulsa dhidi ya Waafrika ni ya halaiki
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Rais Joe Biden akiri kwamba shambulizi lililofanyika miaka 100 iliyopita hapa Marekani dhidi ya watu weusi mjini Tulsa, Oklahoma yalikuwa ni mauaji ya halaiki.

Picha za CCTV mjini Kampala, Uganda zaonyesha sura za wanaume wawili waliomshambulia kwa risasi Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na kumuua binti yake na dereva.

Umoja wa Afrika (AU) wasitisha uwanachama wa Mali huku mzozo wa kisiasa ukiendelea kulikumba taifa hilo.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG