Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 26, 2020 Local time: 13:40

Rais Barack Obama afurahishwa na mageuzi ya Gabon.


Rais wa Gabon Ali Bongho akiwa na katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki Moon kwenye mkutano wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa.

Rais wa Marekani Barack Obama afurahishwa na mageuzi ya Gabon na kulinda haki za binadam.

Rais wa Marekani Barack Obama amemsihi rais wa Gabon Ali Ben Bongo kuondoa rushwa na kulinda haki za binadamu katika nchi ya Afrika magharibi.

Bw. Obama alikutana na Bw.Bongo huko White house alhamisi licha ya maswali kuhusu tuhuma za rushwa katika familia ya Bongo na serikali.

White house inasema Bw.Obama amefurahishwa na mageuzi ambayo Gabon imechukua chini ya Bw. Bongo kuweka uwazi zaidi na uwajibikaji wa serikali.

Gabon inashikilia urais wa kuzunguka wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG